KUNA jambo la siri linaendelea kati ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Usiri huo umeanza kuonekana hivi karibuni, baada ya Gambo kudaiwa ...
Wakati jamii ikiendelea kuzungumzia migogoro ya uhusiano, wataalamu wa afya ya akili na magonjwa ya akili wameibua upande mwingine hatari unaotafuna ustawi wa familia nyingi. Wameitaja hatari hii kuwa ...
Serikali ya Israel inasema imekubali pendekezo la Donald Trump la kusitisha mapigano. Katika taarifa, Israel inasema: "itajibu kwa nguvu kwa ukiukaji wowote wa usitishaji mapigano." Serikali ya Israel ...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Tanzania, Dk. Ngwaru Maghembe, amefanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Uhusiano wa Kimataifa na Ushirikiano wa Afrika Kusini, Thandi ...
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa hakikisho la miundombinu bora ya uwekezaji nchini kwa wawekezaji duniani, akisema Tanzania imewekeza vema katika ujenzi wa reli, nishati, bandari na miundombinu ya ...
Mtoto mmoja Furaha Abdalah (6) mkazi wa mtaa wa Kambi Tano Kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye shimo la maji taka ambalo halijaanza kutumika likiwa limejaa ...
MUSWADA wa marekebisho ya Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa wa mwaka 2024, umependekeza kuongeza kosa na adhabu ya rushwa katika uchaguzi, michezo, michezo ya kubahatisha na burudani. Lengo la ...
WATUMISHI 10 kati ya 43 wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, waliokuwa wakielekea wilayani Makete katika wamenusurika kufa baada ya gari namba T985 DHH aina ya Fuso Bus kuacha njia ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results