KUNA jambo la siri linaendelea kati ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Usiri huo umeanza kuonekana hivi karibuni, baada ya Gambo kudaiwa ...
Mtoto mmoja Furaha Abdalah (6) mkazi wa mtaa wa Kambi Tano Kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye shimo la maji taka ambalo halijaanza kutumika likiwa limejaa ...
Wakati jamii ikiendelea kuzungumzia migogoro ya uhusiano, wataalamu wa afya ya akili na magonjwa ya akili wameibua upande mwingine hatari unaotafuna ustawi wa familia nyingi. Wameitaja hatari hii kuwa ...
Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza rasmi Baraza jipya Kivuli la Mawaziri kwa kipindi kinachofuata baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kikisema hatua hiyo inalenga kuimarisha usimamizi wa Serikali ...
WAKULIMA wa Kijiji cha Nyamihuu, Kata ya Nzihi, Wilaya ya Iringa, wameanza kunufaika na matokeo ya matumizi ya kilimo hai baada ya kuongeza uzalishaji wa mazao na kupunguza gharama za uzalishaji kwa ...
MUSWADA wa marekebisho ya Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa wa mwaka 2024, umependekeza kuongeza kosa na adhabu ya rushwa katika uchaguzi, michezo, michezo ya kubahatisha na burudani. Lengo la ...
KUNA malalamiko mengi yanaweza kutolewa kuhusu soka la kisasa, kutoka kwa wingi hadi kupendekezwa kupungua kwa burudani, lakini hakuna ubishi kwamba mchezo huo bado umebarikiwa na kundi la wafungaji ...
Marekani imeishambulia maeneo ya nyuklia ya Iran kwa makombora ya B-2 , amesema Ofisa wa Marekani. Rais wa Marekani Donald Trump anasema Marekani imekamilisha mashambulizi kwenye maeneo matatu ya ...