MWENYEKITI wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA), Kanda ya Pwani, Rose MoshI, amesema pamoja na haki ya kila mwanachama kumuunga mkono kiongozi ambaye wanaona anafaa ndani ya chama, hapo mbeleni ...
JUMATATU ijayo itakuwa inatimia miaka 25 tangu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kufariki dunia. Baba wa Taifa ambaye ni Rais wa kwanza wa Tanzania, alifariki dunia Oktoba 14, mwaka 1999. Pamoja ...