Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa ...
Kwa muda mrefu, kilimo cha mpunga Tanzania kimehusishwa na jembe la mkono, nguvu za binadamu, wanyama kazi na uzalishaji mdogo. Lakini katika mashamba ya mpunga ya Mbarali, Mbeya, simulizi hiyo ...
Dar es Salaam. Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha, amefunguka kuhusu taarifa za mwanamke aitwaye Sofia kudaiwa kumtongoza, akisema tukio hilo lilitokea zamani na hakuna aliyekamatwa, ...
Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Abuubakar Zubeir akizungumza na waandishi wa habari ambao hawapo pichani leo Septemba 9, 2026 makao makuu ya Bakwata yaliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. Dar es ...
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Maji na usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Wolta Kiria akizungumza na jijini Dodoma leo. Picha na Elidaima Mangela. Dodoma. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Rose ...
Wakati baadhi ya nchi zikiimarisha taasisi za kisiasa na uhuru wa raia, nyingine zinaingia katika kipindi cha mapinduzi ya kijeshi, chaguzi zisizo za ushindani na kuongezeka kwa mamlaka ya viongozi wa ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Imperial Marketing & Communication na Mwanzilishi wa Kongamano kubwa la Tanzania Real Estate Expo and Forum (TAREX) (kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na mmoja wa ...
Dar es Salaam. Mshtakiwa wa kesi ya uhaini, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameshindwa kuvumilia namna shahidi wake, Brenda Rupia alivyohojiwa maswali ya dodoso ...
Marekani. Septemba 7, 1996 ilikuwa siku ya kawaida kwa mwanamuziki maarufu wa Marekani, Tupac Shakur, lakini baadaye iligeuka kuwa siku ya mwisho ya maisha yake akiwa hai. Miaka 30 iliyopita, Tupac ...
Dar es Salaam. Wajawazito sasa wanaweza kujifungua bila kuhisi maumivu makali ya uchungu kupitia huduma ya kisasa ya kudhibiti maumivu wakati wa kujifungua, inayojulikana kitaalamu ‘Epidural Labour ...
Dar es Salaam. Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, ameeleza kilichomsibu jana alipokuwa akihutubia, mkutano wa kitaifa wa wadau wa kutafakari hali ya kisiasa nchini, Uchaguzi Mkuu wa 2025 na ...
Kituo Kikuu cha Mabasi cha Jiji la Tanga kikianza kutumika kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria wanaotoka na wanaoingia jijini Tanga. Picha na Mbonea Herman Tanga. Kampuni za usafirishaji wa abiria ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results