Goal inakuletea usajili Simba uliokamilika mpaka sasa kuelekea msimu ujao wa mwaka 2017/2018 , huku idadi kubwa ikiwa ni nyota kutoka hapa hapa Tanzan Klabu ya Simba imeshatumia zaidi ya milioni 400 ...
CLATOUS Chama ameonekana kuwa wa moto sana tangu alipojiunga na Simba dirisha dogo la usajili mwezi Januari akitokea Singida ...
Klabu ya Yanga nchini Tanzania imekamilisha usajili wa kiungo Aziz Andambwile akitokea Singida Fountain Gates. Andambwile amemwaga wino kwa kandarasi ya miaka miwili jangwani. Ama kwa upande wa Simba, ...
Mtaani raia husema, ‘ni noma sana’ , sasa ni hivi..! Pambano la watani wa jadi nchini Tanzania kati ya Simba na Yanga lazima lipate mshindi. Bila shaka huzuni na butwaa litawakumba mashabiki wa timu ...