Urusi inatuma mamilioni ya makombora kwa mwaka kwenye vita vyake nchini Ukraine, pia hufanya mashambulizi ya anga – na inasemekana silaha hizo hutolewa na washirika wa kigeni. Wakati mataifa ya ...
Kwa karibu msimu mzima wa masika, raia wa Ukraine waliishi kwa matarajio makubwa kwamba kutafanyika mashambulizi makubwa yaliyotangazwa sana ya Vikosi vya Wanajeshi vya Ukraine. Tarehe maalum za ...
Urusi itazindua kampeni yake ya kujiandikisha katika jeshi katika msimu wa joto siku ya Jumatatu ambayo itahusu makumi ya maelfu ya vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 30, makao makuu ya jeshi la Urusi ...
Hii ni hatua muhimu katika mchakato wa amani ulioanzishwa katika msimu wa vuli wa mwaka 2024 kati ya Ankara na Chama cha Wafanyakazi cha Kurdistan (PKK): siku ya Jumatano, Februari 18, 2026, tume ya ...
Muungano wa Kwanza wa Kitaifa wa Amani nchini Cameroon unaowakilisha mashirika 80 wanachama, utapokea tuzo ya Ujerumani kwa Afrika mjini Berlin wakati wa msimu wa vuli. Katibu mkuu wa wakfu wa ...
Zaidi ya Wakenya milioni mbili wanakabiliwa na uhaba wa chakula baada ya mvua za vuli kunyesha kwa kiwango cha chini zaidi katika miongo minne, hali inayowaathiri wafugaji na jamii za maeneo ya mbuga ...