Msanii wa muziki wa Bongo Fleva ambaye yupo katika harakati ya kuondoka katiika kundi la Wasafi nchini Tanzania Harmonize ana uwezo wa kupiga hatua kubwa iwapo atajiondoa katika WCB. Hayo ni kwa ...
Mwanamuziki wa Kinyarwanda Mani Martin anawaasa vijana wa Afrika kuacha kufikiria kwamba matumaini yao yako ulaya au Marekani. Katika albumu yake mpya aliyoipa jina la ''Africa ndota'' yaani -Africa ...
MSANII nyota wa muziki wa Bongo Fleva na Mkurugenzi Mtendaji wa Wasafi Media, Diamond Platnumz anajiandaa kuachia wimbo wake mpya wa kimahaba uitwao ‘Natulizana’ ikiwa ni maalum kwa msimu wa Valentine ...
Msanii wa Bongo Fleva, Baraka the Prince anauona muziki ni maisha, jambo linalomfanya afikirie zaidi namna mashabiki wake wataishi na kazi zake, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa ...
Mmoja wa wasanii wa miondoko ya kufoka maarufu "rap" nchini Afrika Kusini, Kiernan Forbes, anayejulikana kama AKA, ameuawa jana usiku kwa kupigwa risasi nje ya mgahawa ulioko kusini mashariki mwa jiji ...
Akizungumza mjini Dodoma, waziri Mwakyembe amesema kuwa aliwasiliana na rais Magufuli ambaye alimuelekeza kuwa wimbo huo haukuwa na shida yoyote ya kimaadili na kwamba hata yeye binafsi ameupenda na ...
Kazi ya sanaa ina nguvu kubwa sana katika jamii ikiwa itatumika vizuri. Hata kwenye maeneo yanayokumbwa na vita, sanaa imekuwa ikileta matumaini. Gloria Shukrani ni msanii aliyekimbia vita vya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results