Wakati mmoja, kwa sababu ya majukumu ya ofisi, mwandishi huyu wa habari alifuatilia kikao katika Chuo cha zamani cha Paulista Academy of Letters, huko Largo do Arouche, katikati mwa jiji la Sao Paulo.
Tangu zianze kuhudumia abiria miaka michache iliyopita nchini humo, maneno na misemo yenye bashasha na ya kufurahisha, yamekuwa ndio mtindo wa kileo. Zamani maneno haya ungeyakuta kwenye kanga, kawa ...
Kiswahili kina utajiri mkubwa wa misemo, methali na simo, ambazo licha ya kufumbata ujumbe mzito ndani yake, pia hutumiwa na Waswahili wenyewe kuakisi maisha na mazingira yao. Kwenye sehemu hii ya ...