Simba SC wapo kwenye safari ya kihistoria, kwa mara ya kwanza kwa miaka 32 wameingia fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF, ikiwa ni fainali ya pili kubwa baada ya ile ya mwaka 1993, fainali za Kombe ...
ENDAPO Simba itabeba mataji mawili yaliyobaki msimu huu lile la Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho la CRDB, basi mastaa wa ...
Baada ya kukamilisha mechi za viporo za Ligi Kuu soka Tanzania bara, Kocha wa Simba, Fadlu Davids ameeleza mipango inayofuata katika fainali ya kombe la shirikisho barani Africa dhidi ya RS Berkane.