'Tumeshinda lakini sijafurahia', mmoja wa mashabiki wa Simba SC ya Tanzania, baada ya kipyenga cha mwisho cha mchezo wao dhidi ya Stellenbosch FC katika mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Kombe la ...
Uwanja wa Benjamin Mkapa leo unafungua milango kwa pambano la mwisho la ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 (Kariakoo Dabi) ya mzunguko wa pili kati ya Simba na Yanga. Ni mchezo wa namba 184, ...
Klabu ya Simba imetangaza kwamba haitocheza mchezo wake dhidi ya watani wao wa jadi Yanga hii leo ikisema imesikitishwa na vitendo visivyo vya kiungwana dhidi ya timu yao kuelekea mchezo huo. Klabu ya ...
Mashabiki wa Simba wameanza kujinasibu kuwa safari hii ni ya kufuta uteja, wakikumbushia maumivu ya kupoteza michezo sita mfululizo dhidi ya watani wao wa jadi na mashabiki wa Yanga nao wanaonekana ...
Klabu ya CS Sfaxien imepewa adhabu ya kucheza mechi mbili za nyumbani bila uwepo wa mashabiki katika uamuzi uliotolewa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Mechi mechi hizo ni dhidi ya Simba na FC ...