Picha na video zinazomuonyesha mwanamume aliyevaa nguo kama Yesu kristo zimesambazwa pakubwa katika mitandao ya kijamii Afrika. Lakini jamaa huyu ni nani na anafanya nini? Ujumbe mmoja katika twitter, ...