Serikali, mashirika ya Umoja wa Mataifa UN na yale ya kutetea haki za kibinadamu yametakiwa kuchukua hatua madhubuti kuendeleza na kuwekeza katika usaidizi wa kisaikolojia kwa watu walioathiriwa na ...
Nchini Kenya tafiti zinaonyesha kuwa upo uhusiano kati ya mabadiliko ya hali ya hewa na ongezeko la magonjwa ya afya ya akili. Jamii na hasa wanawake wakulima kwenye maeneo ya vijijini wamejikuta ...
(London) – Mamia ya maelfu ya watu wenye matatizo ya akili wamefungwa kwa minyororo katika maeneo mengi duniani, Shirika la Human Rights Watch limesema kwenye ripoti iliyotolewa leo. Wanaume, wanawake ...
(Nairobi)- Magenge katika pwani ya Kenya yamewashambulia watu tena na tena kwenye misingi ya hisia ya kimapenzi na utambulisho wa kijinsia, mashirika ya PEMA Kenya na Human Rights Watch yasema katika ...
Ingawa dawa za ugonjwa wa akili ni haramu nchini Afrika Kusini, waganga wengi walioko mjini Cape Town wanatangaza waziwazi kwamba wanazijumuisha katika matibabu yao. Yeyote atakayepatikana na hatia ya ...
Ripoti ya afya akili duniani ,inaonya kuhusu madhara yanayotokana na matumizi ya simu za mkononi miongoni mwa vijana wenye umri wa kati ya miaka 18 na 34 Katika mataifa ya Afrika ambapo matumizi ya ...
MSF inasema mwaka 2024 pekee,watoto zaidi ya 300,000 walitibiwa katika vituo vya afya vya MSF katika majimbo ya Zamfara,Kano,Katsina,Kebbi,Bauchi,Borno na Sokoto. Kuanzia mwaka 2022, MSF imekuwa ...